Rutanga kutua Yanga dirisha dogo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Oct 2019
Rutanga kutua Yanga dirisha dogo

Yanga iko kwenye mchakato kabambe wa kumnasa beki wa kushoto wa Rayon Sports Erick Rutanga

Habari za uhakika ni kuwa mabingwa hao wa kihistoria wamedhamiria kumsajili beki huyo wa Kimataifa wa Rwanda kwenye usajili wa dirisha dogo mwezi ujao

Yanga ina beki mmoja wa asili upande wa kushoto Muharami Issa 'Marcelo' aliyesajiliwa baada ya Gadiel Michael kugoma kuongeza mkataba dakika za majeruhi na kuamua kutimkia Simba

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla yuko Rwanda ambapo amekutana na bosi wa Rayon Sport Munyakazi Sadate

Pamoja na mambo mengine, Yanga inataka kuanzisha ushirikiano na klabu hiyo katika kukuza soka la vijana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’