Happy BirthDay Mzee Kikwete

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Oct 2019
Happy BirthDay Mzee Kikwete

Jana Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete alisherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, akitimiza miaka 68

Pamoja na kufanya kazi nzuri wakati akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Kikwete ni Mwanayanga kwelikweli

Kwa heshima yake siku ya Kubwa Kuliko aliisaidia Yanga kupatiwa eneo la kujenga uwanja Kigamboni na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda

Makonda ambaye anafahamika kuwa mdau mkubwa wa klabu ya Simba, alitoa eneo hilo lenye ekari 7 baada ya Dk Kikwete kufichua kuwa ni yeye aliyewapa Simba Tsh Milioni 30 ili wanunue eneo wajenge uwanja Bunju, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam

Tunamtakia kila la kheri, Mwenye ez Mungu amjaalie maisha marefu zaidi

HAPPY BIRTHDAY DK JAKAYA KIKWETE...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’