Kila msemaji asemee timu yake - Nugaz

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Oct 2019
Kila msemaji asemee timu yake - Nugaz

Msemaji na Afisa Uhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amempiga 'dongo' msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara kuwa muda mwingi amekuwa akiisema Yanga zaidi kuliko timu yake

Akizungumza baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union jana ambao Yanga ilishinda 1-0, baada ya wanahabari kumtaka azungumzie baadhi ya mambo yanayozungumzwa na Manara, Nugaz alisema ni vyema kila Msemaji akaizungumzia timu yake

"Mwenye akili timamu huwa hajibu vitu vya kijinga.. tulishasema kila msemaji asemee timu yake lakini tunashangaa yeye bado anaisemea yetu"

"Fanya ya kwako, hii ni brand kubwa, semea ya kwako...('usishoboke..!') hii Yanga ni ya kwetu"

Aidha Nugaz amesema baada ya kufanya majadiliano na kampuni ya GSM, walikubali kutoa Milioni 10 kama fedha za motisha kuhakikisha timu inafanya vizuri

"GSM ni wadhamini wetu, tuliwaambia kama timu haifanyi vizuri mashabiki hawatanunua jezi na bidhaa nyingine hivyo wanapaswa kuwajibika kama Wanayanga pale timu inapokuwa haipati matokeo"

GSM ilitoa Tsh Milioni 10 za motisha ambazo walikabidhiwa wachezaji uwanja wa Uhuru baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’