Vijana wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara U20, Ngorongoro Heroes, wamefanikiwa kutwaa taji la CECAFA nchini Uganda baada ya kuichapa Kenya bao 1-0 kwenye mchezo wa fainali
Bao la kujifunga mchezaji wa Kenya limewapa vijana wa Tanzania ubingwa huku wakiweka rekodi ya kutopoteza mchezo kwenye michuano hiyo
Kinda Kelvin John ameibuka kuwa mchezaji bora wa michuano hiyo pia akitwaa tuzo ya mfungaji bora
Kelvin amemaliza mashindano akiwa amefunga mabao 7

Viva Tanzania Viva Ngorongoro Heroes...!
ADVERTISE HERE