Yanga yerejea usiku kutoka Zambia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Oct 2019
Yanga yerejea usiku kutoka Zambia

Yanga ilirejea usiku wa jana kutoka Zambia ambako ilipoteza mchezo wa ligi ya mabingwa kwa kufungwa mabao 2-1 na Zesco United

Baada ya kurejea wachezaji wa timu hiyo hawana muda wa kupoteza kwani wanapaswa kufanya maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya Polisi Tanzania

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi kwenye uwanja wa Uhuru

Kocha Mwinyi Zahera amesema timu yake ilifanya jitihada ili kupata matokeo ugenini lakini bahati haikuwa kwao

Amesema hakuna wa kumlaumu kwani kilichotokea ni sehemu ya mchezo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
39m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’