Kikosi cha Yanga tayari kiko Zambia kuwakabili Zesco United kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Septemba katika Mji wa Ndola
Yanga imefikia jijini Lusaka ambapo inaelezwa itaweka kambi yake hapo kabla ya kuelekea Ndola umbali wa takribani kilomita 316
Mabingwa hao wa kihistoria wanahitaji ushindi wa aina yoyote au hata sare ya mabao 2-2 Jumamosi ili kutinga hatua ya makundi
ADVERTISE HERE