Mwakalebela kama kawaida Zambia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Sep 2019
Mwakalebela kama kawaida Zambia

Msafara wa viongozi waliotangulia nchini Zambia ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela umewasili salama

Mwakalebela ndiye Msimamizi Mkuu wa kambi ya muda ambayo Yanga itaweka Zambia kuelekea mchezo wa Jumamosi

Mbinu alizotumia nchini Botswana kwa kukiongoza vyema kikosi cha Yanga huku akifanikiwa kukabiliana na majaribio yote ya hujuma, anatarajiwa kuzitumia huko Zambia

Yanga inahitaji kushinda mchezo wa Jumamosi ili kujihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya makundi

Hata matokeo ya sare ya kuanzia mabao mawili yataipeleka hatua hiyo na kujihakikishia kitita cha zaidi ya Tsh Bilioni moja

Msafara wa wachezaji na benchi la ufundi utaondoka nchini leo wakati mashabiki watafuata siku ya kesho

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’