Molinga aanza mechi dhidi ya Ruvu Shooting

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Aug 2019
Molinga aanza mechi dhidi ya Ruvu Shooting

Mshambuliaji mpya wa Yanga David Molinga 'Falcao' leo ameanza kwenye kikosi cha kwanza kinachoikabili Ruvu Shooting kwenye mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amefanya mabadiliko ya kikosi chake, akiwaanzisha Molinga, Suleyman Mustafa na Shikalo ambao waliokosa mechi za ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers kutokana na kutokamilika kwa vibali vyao

Mustafa ameanza upande wa kulia kuchukua nafasi ya Boxer ambaye ni majeruhi

Zahera amempeleka Balinya pembeni akichukua nafasi ya Mapinduzi Balama huku akiwatumia Molinga na Sadney wakiwa washambuliaji wa kati

Hii ni nafasi kwa Molinga kuonyesha makali yake

Aidha kiungo Feisal Salum ameanza sambamba na Tshishimbi akichukua nafasi ya Banka ambaye ameanzia benchi ikielezwa ana majeraha madogo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’