Yanga safarini Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2019
Yanga safarini Afrika Kusini

Kikosi cha Yanga kinaelekea Afrika Kusini ambako watatokea kuifuata Township Rollers nchini Botswana

Jana baada ya mchezo dhidi ya AFC Leopards, msafara wa timu hiyo ulirejea mkoani Kilimanjaro ambako utaanzia safari kuelekea kwa Madiba

Mchezo wa marudiano dhidi ya Rollers utapigwa Jumamosi August 24, hata hivyo Yanga inawahi kwenda Botswana ili kupata muda wa kufanya maandalizi ya mwisho pamoja na kuzoea hali ya hewa

Inaelezwa kwa sasa hali ya hewa ya Botswana ni baridi kali hivyo ni muhimu kwa wachezaji kupata angalau siku tatu za kuzoea kabla ya mchezo wa Jumamosi ambao utaamua timu ya kutinga raundi ya kwanza

Matokeo ya sare ya bao 1-1 ya mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Taifa, bado yanaipa Yanga nafasi ya kusonga mbele kama itaweza kupata ushindi ugenini au hata matokeo ya sare ya kuanzia mabao mawili

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’