Kiungo wa Polisi Tanzania Pato Ngonyani jana alipata nafasi ya kucheza dhidi ya waajiri wake wa zamani Yanga kwenye mchezo wa kirafiki uliomalizika kwa Polisi kuibuka na ushindi wa mabao 2-0
Pato alicheza Yanga kwa misimu minne. Ametua timu hiyo dirisha la usajili liliofungwa karibuni baada ya mkataba wake Yanga kumalizika
Pichani juu ni Deus Kaseke akimtania kwa kumpigia 'saluti' baada ya kujiunga na timu ya maafande wa Polisi
ADVERTISE HERE