Metacha kuibeba Yanga leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Aug 2019
Metacha kuibeba Yanga leo

Mlinda lango Metacha Mnata leo anatarajiwa kuwa langoni kwenye mchezo dhidi ya Township Rollers utakaopigwa saa 12 jioni

Hadi kufika jana jioni, Yanga ilikuwa bado haijapokea vibali vya wachezaji wake watatu kutoka CAF, kipa Farouq Shikalo, beki Mustapha Suleyman na mshambuliaji David Molinga

Wachezaji hao hawatarajiwi kuwemo kwenye kikosi cha Yanga baadae kama vibali vyao havitapatikana mapema

Hata hivyo uwepo wa Metacha utaliweka salama lango la Yanga kwenye mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’