Yondani hana mpinzani Yanga - Mayay

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Aug 2019
Yondani hana mpinzani Yanga - Mayay

Licha ya mabeki wapya wa Yanga, Lamine Moro na Ally Sonso kucheza kwa kiwango bora katika mchezo wao wa kwanza wa kimataifa katika kikosi cha Yanga, Ally Mayay anaamini hakuna beki wa kumuweka benchi Kelvin Yondani.

Kocha Mwinyi Zahera alimuanzisha Moro na Sonso waliosajiliwa Yanga msimu huu. Yondani, Andrew Vincent walikuwa timu ya Taifa.

Hata hivyo, uwezo wa mabeki hao unaonyesha dalili za kuwepo kwa ushindani wa namba kati ya mabeki hao katika kikosi cha kwanza.

"Dante, Moro na Sonso itabidi wapokezane kuanza, lakini kwa Yondani bado namuona ana namba ya kudumu Yanga", alisema Ally Mayay ambaye pia ni mchambuzi wa soka nchini.

Alisema Yondani ana nafasi ya kudumu katika safu ya ulinzi ana vitu vingi kulinganisha na wenzake uwanjani

"Achana na uzoefu wake wa muda mrefu, bado ataendelea kuwa kiongozi kwa wenzake hata kama si nahodha tena wa timu hiyo"

"Yuko fiti, ana uwezo mkubwa uwanjani na ni mzoefu hivyo sioni sababu ya kugombea namba. Akina Moro watabadilishana namba lakini si Yondani"

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’