Mashabiki wa Yanga watakuwa na nafasi nyingine ya kuishuhudia timu yao leo ikijipima dhidi ya Mlandege Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Amaan
Mchezo huo utarushwa mbashara na Azam Sport 2 kuanzia saa mbili usiku
Kesho Alhamisi Yanga itarudi tena kwenye uwanja huo kujipima dhidi ya Malindi Fc
Mechi zote zitakuwa mbashara
ADVERTISE HERE