Wanayanga kutoka mikoani wamiminika Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2019
Wanayanga kutoka mikoani wamiminika Dar

Yanga kesho August 04 itaandika historia uwanja wa Taifa, katika kilele cha wiki ya Mwananchi ambayo ilianza Julai 28

Mabingwa hao wa kihistoria watatambulisha kikosi chao kilichosukwa upya kwa ajili ya msimu wa 2019/20 na baadae kuikabili Kariobangi Sharks kwenye mchezo wa kirafiki

Tangu jana mashabiki wa timu hiyo kutoka mikoani wameendelea kumiminika jijini Dar es salaam kuwa sehemu ya tukio hilo

Mapema leo mashabiki kutoka jijini Mwanza waliianza safari yao ya kuja jijini Dar es salaam

Kwa wale ambao hawana tiketi, muda ni huu wa kukata tiketi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
2h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
14h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
23h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’