Chikupe agoma kutua KMC kwa mkopo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Aug 2019
Chikupe agoma kutua KMC kwa mkopo

Wakati uongozi wa klabu ya Yanga ukiwa kwenye majadiliano ya kumalizana na beki wake Andrew Vicent Chikupe, inaelezwa beki huyo aligomea mpango wa kutolewa kwa mkopo

Yanga ilikuwa na mpango wa kumpeleka kwa mkopo klabu ya KMC

Hata hivyo Chikupe aliyeitumikia Yanga kwa misimu mitatu, alipinga hatua hiyo

Tayari dirisha la usajili limefungwa usikuwa kuamkia jana hivyo mlinzi huyo ataendelea kubaki Jangwani

Yanga itakuwa na walinzi sita wa kati baada ya kuwasajili Ally Mtoni, Ally Ally, Mustafa Suleyman na Lamine Moro ambao wameungana na Kelvin Yondani na Chikupe

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’