Molinga kuungana na Yanga Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Aug 2019
Molinga kuungana na Yanga Dar

Mshambuliaji mpya wa Yanga David Molinga ataungana na kikosi cha timu hiyo jijini Dar es salaam, imefahamika

Molinga alikamilisha usajili wake na kutua Yanga jana

Hata hivyo kutokana na muda uliobaki kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi siku ya Jumapili, mkali huyo wa kuzifumania nyavu ataungana na timu jijini Dar es salaam

Yanga inatarajiwa kurejea jijini kesho Ijumaa ambapo itaweka kambi Hoteli ya Nefaland

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema timu hiyo itaondoka mkoani Morogoro mchana na itaweka kambi ya muda wilayani Kibaha kuwapa nafasi wachezaji kusalimia mashabiki na wananchama

Jumapili mabingwa hao wa kihistoria watachuka kwenye dimba la Taifa kumenyana na Kariobangi Sharks kwenye mchezo maalum wa kuhitimisha kilele cha wiki ya Mwananchi

Molinga ni miongoni mwa wachezaji wapya wa Yanga watakaotambulishwa kwenye mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’