Zahera bado hajamaliza usajili, kushusha mshambuliaji mwingine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jul 2019
Zahera bado hajamaliza usajili, kushusha mshambuliaji mwingine

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema katika kipindi cha siku mbili watampokea mshambuliaji mpya ambaye amesajiliwa kuongeza nguvu kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa

Baada ya kutua mkoani Morogoro jana, leo Zaheara ameanza majukumu yake katika benchi la ufundi

Mcongomani huyo amesema kikosi chake kimeimarika kiasi lakini bado kinahitaji marekebisho

"Nimewaona vijana wangu, wameimarika kiasi fulani lakini sio sana bado kuna marekebisho," amesema

"kikosi kilichocheza jana sio kilichocheza juzi , wale waliocheza juzi watacheza kesho asubuhi tutakuwa na mchezo mwingine wa kirafiki

"Malengo yangu kuhusu usajili yametimia ila bado striker mmoja ambaye atawasili kesho ama keshokutwa akishafika mambo yatakuwa yamekamilika na ntaiandaa timu kamili kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa"

Kesho Yanga itacheza dhidi ya Friends Rangers kutoka jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’