Kuziona Stars na Kenya kiingilio buku tatu tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2019
Kuziona Stars na Kenya kiingilio buku tatu tu

Leo Jumapili Julai 28 2019 saa kumi jioni, timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itashuka dimba la Taifa kumenyana na Kenya 'Harambee Stars' katika mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za CHAN 2020, mzunguuko wa kwanza

Kiingilio cha chini katika mchezo huo ambao Stars inahitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele ni Tsh 3,000/- tu Mzunguuko

Aidha kiingilio cha majukwaa ya VIP B na C ni Tsh 5,000/- tu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’