TAARIFA
Kesho Ijumaa 26.07.2019 kuanzia saa tisa alasiri Klabuni Kwetu pale Jangwani tutakuwa na Kikao cha kuhusu ratiba yetu ya Wiki ya Mwananchi inayoanza rasmi keshokutwa Jumamosi.
Kikao hicho kitahusisha watu wafuatao;
1. Wajumbe wa Kamati ya Hamasa
2. Viongozi wa Matawi ya Yote ya Yanga
3. Viongozi wa Makundi ya Whatsapp
4. Viongozi wa Vikundi vya Ushangiliaji
5. Wadau wengine wa Yanga
TAFADHALI VIONGOZI TAJWA HUDHURIENI BILA KUKOSA
Imetolewa na:
DEO MUTTA
KATIBU WA KAMATI YA HAMASA
25.07.2019
ADVERTISE HERE