Juma Abdul sasa yuko fiti, tutarajie makubwa kutoka kwake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Sep 2017
Juma Abdul sasa yuko fiti, tutarajie makubwa kutoka kwake
Ukizungumzia mafanikio ya Yanga kwenye misimu miwili iliyopita usipotaja jina la Juma Abdul utakuwa hujamtendea haki.

Juma Abdul 'Mnyamani' pamoja na Simon Msuva ndio walikuwa wapishi wakubwa wa mabao ya Yanga katika kipindi hicho.

Msimu uliopita Abdul alipata majeraha ya goti ambayo kwa kiasi kikubwa yalimfanya apungue makali yake. Hakucheza michezo mingi hasa kwenye mzunguuko wa pili wa ligi kuu ya Vodacom.

Lakini sasa baada ya kuwa amepona kabisa, taratibu ameanza kujerea katika ubora wake. Na hili ni jambo jema sana kwa klabu ya yanga.

Abdul anafahamika kwa kuchonga krosi murua ambazo mara nyingi hutua kichwani mwa Amissi Tambwe ambaye pia amekosekana kwenye michezo yote ya mwanzoni mwa msimu kutokana na majeraha.

Lakini habari njema ni kwamba Tambwe tayari ameshaanza mazoezi na huenda Jumamosi akawemo dimbani kuivaa Mtibwa Sugar.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’