Taarifa za kusimamishwa sina - Chikupe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jul 2019
Taarifa za kusimamishwa sina - Chikupe

Beki wa Yanga Andrew Vicent Chikupe amesema hana taarifa za kusimamishwa na uongozi wa timu hiyo baada ya kukacha kambi mkoani Morogoro

Chikupe na nahodha Msaidizi Juma Abdul hawakuripoti kambini mkoani Morogoro kujifua na wenzao ikielezwa wamechukua uamuzi wa kujiweka pembeni mpaka pale watakapolipwa madai ya fedha za kusaini mikataba

Kumekuwa na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wachezaji hao wamesimamishwa na uongozi wa Yanga baada ya kugoma kuingia kambini mkoani Morogoro

"Sina taarifa kama nimesimamishwa lakini ni kweli nina madai kwa uongozi. Nasubiri wanikamilishie ili niweze kuingia kambini," amesema

Aidha kuhusu taarifa za kutaka kujiunga na Lipuli fc Chikupe amesema yeye bado ana mkataba na Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’