Mpinzani wa Yanga Mwananchi Day kujulikana kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2019
Mpinzani wa Yanga Mwananchi Day kujulikana kesho

Uongozi wa klabu ya Yanga kesho Jumatano, utazungumza na waandishi wa habari katika Mkutano utakaofanyika Makao Makuu ya klabu hiyo

Mkutano huo unatarajiwa kufanyika kuanzia saa sita na nusu mchana

Ajenda kuu kwenye Mkutano huo ni pamoja na hatma ya timu itakayokuja kucheza na Yanga August 04 siku ya kilele cha wiki ya Wananchi baada ya AS Vita kujiondoa kutokana na kubanwa na ratiba

Jambo jingine ni mikakati ya Yanga kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’