Wananchi wa Nzega wameanza, wengine tufuate

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jul 2019
Wananchi wa Nzega wameanza, wengine tufuate

Wanayanga wameanza mapema maadhimisho ya wiki ya Mwananchi ambapo jana Wananchi wa Tawi la Yanga Nzega walijitokeza Hospitali ya Wilaya hiyo kufanya usafi pamoja na kuchangia damu

Wanayanga wengine kote nchini wameaswa kufanya shughuli za kijamii katika maeneo yanayowazunguuka

Maana halisi ya kauli mbiu ya 'Timu ya Wananchi' itatimia kwa Wananchi kujitokeza kuboresha maeneo yanayo wazunguuka

Shughuli itahitimishwa uwanja wa Taifa August 04 kwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Yanga dhidi ya AS Vita kutoka DR Congo

Msimu huu Yanga imekuja na utamaduni wa kutambulisha 'jeshi' lake kabla ya kuanza kwa msimu

Kazi hiyo itafanyika August 04 ambapo pia itaambatana na burudani nyingi tu katika tukio ambalo linatarajiwa kuanza saa nne asubuhi

August 04 ni sikukuu kwa Wananchi wote, sio siku ya kukosa

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’