Yanga 'imetesti' mitambo dhidi ya Moro Kids leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jul 2019
Yanga 'imetesti' mitambo dhidi ya Moro Kids leo

Yanga inaendelea na program za maandalizi ya msimu mpya mkoani Morogoro ambapo leo ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Moro Kids

Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo huo uliopigwa leo asubuhi

Mabao ya Juma Balinya na Paulo Godfrey 'Boxer' yaliipa Yanga ushindi huo

Kikosi cha Yanga kilichoanza mchezo huo;

Metacha, Boxer, Marcelo, Cleofas, Mustafa, Fei Toto, Ngasa, Banka, Balinya, Bigirimana na Sibomana

Awali Yanga ilipaswa kusafiri Kilosa kwenda kuikabili Mkamba Rangers lakini uongozi wa timu hiyo ukafanya mabadiliko na kucheza na Moro Kids hapohapo Morogoro

Huo ulikuwa mchezo wa pili wa kirafiki kwa kikosi cha Yanga ambacho kimepanga kucheza michezo mitano ya kirafiki

Julai 23 Yanga itakuwa mkoani Dodoma kuikabili Dodoma Fc inayoshiriki ligi daraja la kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’