Bigirimana awapania AS Vita

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jul 2019
Bigirimana awapania AS Vita

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Issa Bigirimana amesema anausubiri kwa hamu mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya AS Vita utakaopigwa August 04 kwenye dimba la Taifa siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi

Bigirimana aliyetua Yanga kutoka klabu ya APR, amesema hawahofii Vita Club kwani haitakuwa mara ya kwanza kukutana nao

"Haitakuwa mara ya kwanza kwangu kucheza na Vita Club.. Wachezaji wao wananifahamu vizuri nami nawafahamu"

"Nawasubiri August 04 waje niwaonyeshe kazi uwanja wa Taifa," amesema

AKizungumzia mazoezi ya kikosi cha Yanga yanayofanyika mkoani Morogoro, Bigirimana amesema wamekuwa wakifanya mazoezi makali

"Kule Rwanda tunafanya mazoezi magumu siku mbili halafu siku nyingine tunafanya mazoezi ya kawaida"

"Lakini mazoezi ya huku Tanzania ni tofauti, nashukuru nimeanza kuzoea"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’