Ngasa ameanza na hat-trik

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2019
Ngasa ameanza na hat-trik

Kiungo mshambuliaji Mrisho Ngasa leo aliondoka na mpira kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzanite Fc inayoshiriki ligi daraja la pili

Mchezo huo uliopigwa mapema leo mkoani Morogoro, uliishuhudia Yanga ikiondoka na ushindi mnono wa mabao 10-1

Ngasa alifunga mabao matatu yaliyomfanya akabidhiwe mpira huku Fei Toto, Balinya, Tshishimbi, Sibomana, Bigirimana, Balama na Lothi nao walizifumania nyavu

Huo ni mwanzo mzuri kwa 'uncle' ambaye amepania kulirudisha juu jina lake kwenye medani ya soka nchini

Ni mchezo wa kwanza wa kirafiki kwa kikosi cha Yanga ambacho kinatarajiwa kucheza michezo mingine mitatu kabla ya kuivaa AS Vita Club August 04 siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’