Nyota watano wa Yanga wamejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa kwa wachezaji wa ndani ambayo Julai 28 itachuana na Kenya kusaka tiketi ya kushiriki fainali za CHAN
Metacha Mnata, Paulo Godfrey, Kelvin Yondani, Abdulaziz Makame na Feisal Salum wamejumuishwa kwenye kikosi hicho

ADVERTISE HERE