Tulieni, Sadney anakuja..

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2019
Tulieni, Sadney anakuja..

Mshambuliaji mpya wa Yanga Sadney Urikhob amechelewa kuripoti kambini mkoani Morogoro kutokana na matatizo ya kifamilia

Mshambuliaji huyo ambaye awali ilielezwa angewasili Ijumaa, alishindwa kuwasili, hata hivyo alitoa taarifa kwa uongozi wa Yanga

Taarifa zimebainisha Sadney anaweza kuwasili leo Jumatatu na kuelekea moja kwa moja mkoani Morogoro ambako kikosi cha Yanga kipo kikiendelea na maandalizi ya msimu mpya

Uwezo wa Sadney umewapagawisha mashabiki wa Yanga ambao wana shauku kubwa ya kumuona ndani ya uzi wa njano na kijani

Sadney na Lamine Moro ilikuwa wajiunge na Simba kabla ya Yanga kuwahi mchakato na kuwasajili haraka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’