Aliyekuwa mkufunzi wa makipa wa Yanga Juma Pondamali 'Mensah' amesema kwa sasa hajishughulishi tena na mpira wa miguu akijikita zaidi kwenye muziki
Msimu huu Pondamali hatakuwa na Yanga baada ya kufanyiwa mabadiliko na uongozi ambapo nafasi yake imechukuliwa na Peter Manyika
Hata hivyo Pondamali amesema ameamua kupumzika soka kwa muda ili ajikite kwenye muziki
Kwa muda mrefu Pondamali amekuwa akijihusisha na masuala ya muziki licha ya kufahamika zaidi kwenye soka
ADVERTISE HERE