Niyonzima arudi kwao Rwanda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jul 2019
Niyonzima arudi kwao Rwanda

Kiungo Haruna Niyonzima amemaliza maisha yake ya soka nchini Tanzania ambapo amerudi kwao Rwanda na kujiunga na klabu ya AS Kigali

Niyonzima alitambulishwa na timu hiyo jana baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja

Kiungo huyo fundi amecheza Tanzania kwa miaka saba ambapo aliitumikia Yanga kwa misimu mitano kabla ya kutimkia klabu ya Simba ambako alikaa kwa misimu miwili tu

Niyonzima aliyekuwa kipenzi cha mashabiki wa Yanga, aliondoka Yanga katika mazingira ya utata na pengine ndio sababu mabosi wa Yanga wakaamua 'kumpotezea' baada ya mkataba wake kumalizika huko Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’