Mshambuliaji kinda wa Yanga Erick Msagati amejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa mwaka mmoja
Msagati aliyen'gara kwenye michuano ya ligi kuu ya vijana U20, inaelezwa Yanga wamemtoa kwa mkopo
Yanga imeendeleza utaratibu wake wa kukuza wachezaji chipukizi na kuwapa nafasi kuimarisha viwango vyao katika timu nyingine
ADVERTISE HERE