Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua mkoani Morogoro yakiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara na michuano ya ligi ya mabingwa
Yanga imefikia Hotel Maarufu ya Kingsway iliyoko Morogoro mjini
Yanga ilitua mkoani Morogoro jana na jioni kuanza mazoezi yanayosimamiwa na kocha Msaidizi Noel Mwandila
Julai 27 Yanga itatambulisha rasmi kikosi chake mbele ya mashabiki wake uwanja wa Taifa katika kilele cha siku ya Mwananchi
ADVERTISE HERE