Beki wa kulia wa Yanga Paulo Godfrey 'Boxer' yuko tayari kwa safari ya mkoani Morogoro kuanza maandalizi ya msimu mpya
Boxer aliyepandishwa timu ya wakubwa na kocha Mwinyi Zahera msimu uliopita, anatabiriwa kuwa atafanya mambo makubwa msimu ujao
Uzoefu aliopata kwenye mikiki mikiki ya ligi na kombe la FA msimu uliomalizika, utamsaidia kuwa bora zaidi
Boxer ni miongoni mwa nyota waliofanya vizuri kwenye kikosi cha Yanga msimu uliopita
ADVERTISE HERE