Boxer tayari kwa msimu mpya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jul 2019
Boxer tayari kwa msimu mpya

Beki wa kulia wa Yanga Paulo Godfrey 'Boxer' yuko tayari kwa safari ya mkoani Morogoro kuanza maandalizi ya msimu mpya

Boxer aliyepandishwa timu ya wakubwa na kocha Mwinyi Zahera msimu uliopita,  anatabiriwa kuwa atafanya mambo makubwa msimu ujao

Uzoefu aliopata kwenye mikiki mikiki ya ligi na kombe la FA msimu uliomalizika,  utamsaidia kuwa bora zaidi

Boxer ni miongoni mwa nyota waliofanya vizuri kwenye kikosi cha Yanga msimu uliopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’