Nitarudi Yanga siku moja - Makambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jul 2019
Nitarudi Yanga siku moja - Makambo

Licha ya kuondoka Yanga, mshambuliaji Heritier Makambo ameeleza mapenzi yake kwa klabu hiyo hasa mashabiki waliokuwa wakimuunga mkono mwaka mmoja aliokuwa Tanzania

Makambo amesajiliwa na Horoya Ac ya Guinea kwa mkataba wa miaka mitatu, usajili wake ukiingizia Yanga zaidi ya Milioni 180

Amesema anaamini siku moja atarejea tena klabuni hapo

"Nawashukuru mashabiki wa Yanga kwa kusapoti timu na sisi wachezaji kila mahali tulipoenda," ameandika Makambo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

"Nashukuru Mungu kwa kucheza msimu mmoja naondoka, naimani siku moja nitarudi tena Yanga kuja kufurahisha mashabiki"

Makambo ameondoka Yanga akiwa amefunga mabao 22 kwenye mashindano yote ndani ya michezo takribani 42 aliyocheza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’