Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa beki wa kushoto wa Malindi Fc, Muharami Issa 'Marcelo'
Awali beki huyo alitajwa kujiunga na Singida United lakini kama ilivyokuwa kwa Fei Toto, Marcelo atakipiga na Yanga (ahadi ya Dk Mwigulu Nchemba)
Amesaini kandarasi ya miaka mitatu na amekabidhiwa jezi namba mbili iliyokuwa ikitumiwa na Gadiel Michael
Sasa ni rasmi Gadiel hana chake Yanga
ADVERTISE HERE