Aliyekuwa beki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' amekamilisha usajili wake kunako klabu ya MFK Vyoskov ya Jamhuri ya Czech akisaini mkataba wa miaka minne
Hata hivyo Ninja atatolewa kwa mkopo kwenda klabu ya MFK LA Galaxy ya Marekani
Ninja ametoa shukrani kwa wadau wote waliomuunga mkono wakati wote alioichezea Yanga
"Kwanza namshukuru Mola wngu kwa hili hakika wewe ndio nguzo ya maisha yangu," amesema
"Pili naishukuru familia yangu kwa kunisapoti na kuwa pamoja kwa kila jambo"
"Tatu naishukuru tmu yangu niliyotoka Yanga, nawashukuru wachezaji wezangu kwa kushirikiana vzuri katikia misimu miwili niliyomaliz, bila ya kuwasahau wadau wote wa soka wanaonisapoti
"Naomba muendelee kunisapoti kwa kila hali pia nahitaji dua zenu inshaallah"
ADVERTISE HERE