Uongozi wa Yanga umetangaza kwa mara ya pili tenda ya kusambaza vifaa mbalimbali vya timu hiyo zikiwemo jezi baada ya walioomba mwanzo kukosa sifa
Tenda hiyo imetangazwa tena leo kupitia gazeti la Daily News
Yanga imewataka wadau wenye sifa wawasilishe barua zao kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa
ADVERTISE HERE