Ninja kucheza na Zlatan Ibrahimovich Marekani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jul 2019
Ninja kucheza na Zlatan Ibrahimovich Marekani

Beki aliyemaliza mkataba kunako klabu ya Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' yuko kwenye hatua za mwisho kujiunga na klabu ya Vyskov, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Czech

Hata hivyo Vyskov huenda ikamtoa kwa mkopo kwenda klabu ya LA Galaxy ya Marekani

LA Galaxy ndio timu anayocheza nyota wa zamani wa PSG na Manchester United, Zlatan Ibrahimovich

Licha ya kuanza kwa kusuasua Yanga, Ninja alionyesha ukomavu kwenye mwaka wa pili wa mkataba wake ambapo msimu uliopita ndiye beki aliyecheza mechi nyingi zaidi kwenye kikosi cha Yanga

Bado angehitajika zaidi kwenye kikosi cha Yanga lakini uwezekano wa kubaki umezidi kuwa mdogo hasa baada ya kupata ofa iyo nono ambayo ikimtokea mchezaji inakuwa ndoto iliyotimia kwake

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’