TP Mazembe yajitosa kumuwania Fei Toto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jun 2019
TP Mazembe yajitosa kumuwania Fei Toto

Baada ya dili la kumsajili Ibrahim Ajib kukwama, inaelezwa klabu ya TP Mazembe imerejea tena Jangwani safari hii wakimtaka kiungo Feisal Salum 'Fei Toto'

Fei Toto ambaye bado ana mkataba wa miaka miwili na Yanga, ni mmoja wa wachezaji waandamizi wa kikosi cha Yanga kilichomaliza kwenye nafasi ya pili ligi kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita

Hata hivyo Mazembe watahitaji kumalizana kwanza na Yanga kabla ya kuruhusiwa kuzungumza na Fei Toto ambaye kwa sasa yuko Misri na timu ya Taifa

Fei Toto amekuwa akiwaniwa na timu kadhaa

Licha ya TP Mazembe kujitosa sasa, kiungo huyo mwenye umri wa miaka 20, baada ya michuano ya Afcon kumalizika, ataelekea nchini Uingereza kufanya majaribio ambapo kuna timu inashiriki ligi daraja la kwanza inamuhitaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’