Lothi aongeza miaka miwili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jun 2019
Lothi aongeza miaka miwili Yanga

Kiungo Raphael Daudi Lothi ataendelea kubaki Jangwani baada ya kuongeza mkataba wa miaka miwili, imefahamika

Lothi anakuwa mchezaji wa tatu kuongeza mkataba kuendelea kubaki Yanga baada ya Gadiel Michael na Papi Tshishimbi

Baada ya kukamilisha usajili wa wachezaji wa kigeni, uongozi wa Yanga sasa unawapa mikataba wachezaji ambao mikataba yao imemalizika

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema zoezi hilo watalikamilisha wiki ijayo, na baadae watatangaza majina ya wachezaji ambao hawataendelea nao

Msimu uliopita haukuwa mzuri sana kwa Lothi aliyekuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara lakini ni miongoni mwa viungo wenye vipaji vikubwa

Lothi alitua Yanga misimu miwili iliyopita akitokea klabu ya Mbeya City

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’