Yanga kujenga viwanja, nyumba za wachezaji Kigamboni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jun 2019
Yanga kujenga viwanja, nyumba za wachezaji Kigamboni

Baada ya kukabidhiwa hati ya eneo la ekari saba Kigamboni leo na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda, uongozi wa Yanga unakusudia kujenga viwanja vitatu vya mpira kwenye eneo hilo

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uhamasishaji Yanga Lucas Mashauri amesema pamoja na ujenzi wa viwanja hivyo, wanakusudia kujenga Hoteli, nyumba za wachezaji wa kigeni na kituo cha soka 'Academy'

Uwanja mkubwa wa soka utajengwa pamoja na viwanja vingine vidogo viwili kwa ajili ya mazoezi

Yanga imejipanga kuanza kuliendeleza eneo hilo lililopewa jina la Yanga Sports Club Complex

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’