Yanga U20 yaendeleza umwamba dhidi ya Simba, yaifumua 2-0

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jun 2019
Yanga U20 yaendeleza umwamba dhidi ya Simba, yaifumua 2-0

Kikosi cha timu ya vijana cha Yanga U20 kimefanikiwa kumaliza katika nafasi ya tatu ligi kuu ya vijana baada ya kuwachapa watani zao Simba U20 mabao 2-0 katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu uliopigwa uwanja wa Azam Complex

Ushindi huo ni pili kwa Yanga dhidi ya Simba ambao pia waliwachapa mabao 2-1 wakati wa hatua ya makundi

Kwa mara nyingine vijana wa Yanga wamedhihirisha kuwa mpira unachezwa uwanjani na matokeo hupatikana baada ya dakika 90

Kama wangepata maandalizi mazuri toka mwanzo, vijana hawa wa Said Maulid 'SMG' pengine wangeweza kuibuka mabingwa wa michuano hii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
52m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’