Chirwa ajisalimisha Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jun 2019
Chirwa ajisalimisha Azam Fc

Baada awali kugomea mkataba kunako klabu ya Azam Fc, mshambuliaji 'mtukutu' Obrey Chirwa amejisalimisha katika klabu hiyo na kukubali kuongeza mkataba wa mwaka mmoja

Hivi karibuni uongozi wa Azam Fc ulimtangaza Chirwa kuwa miongoni mwa wachezaji walioachwa baada ya kushindwana nae

Inaelezwa Chirwa alikuwa na matarajio kuwa angerejea kunako klabu ya Yanga hata hivyo kikwazo kilikuwa kocha Mwinyi Zahera ambaye alimkataa tangu mwaka uliopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’