Kikosi cha timu ya vijana ya Yanga U20 kimefanikiwa kutinga nusu fainali ya ligi kuu ya vijana baada ya leo kuichapa Ruvu Shooting bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam
Bao pekee la Yanga lilifungwa na Erick Msagati kwenye dakika ya 11
Matokeo hayo yameifanya Yanga ifikishe alama saba na kujikatia tiketi ya kwenda nusu fainali ya ligi hiyo ya vijana
ADVERTISE HERE