Miongoni mwa matukio yanayosubiriwa kwa hamu ukumbi wa Diamond Jubilee ni kupigwa mnada kwa baadhi ya makombe yaliyotwaliwa na Yanga miaka ya nyuma kwenye mashindano mbalimbali
Yanga ina utajiri mkubwa wa mataji, kuifanya siku hii kuwa ya kihistoria, baadhi ya makombe yatapigwa mnada leo




ADVERTISE HERE