Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam baada ya kukamilisha ratiba ya michezo iliyopigwa nyanda za juu kusini.
Yanga ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Majimaji huku ikishinda kwa bao 1-0 dhidi ya Njombe Mji.
Wachezaji wamepewa mapumziko ya siku moja ambapo mazoezi yataendelea siku ya Jumanne.
Mchezo unaofuata utapigwa kwenye dimba la Uhuru dhidi ya Ndanda Jumamosi, Septemba 23.

ADVERTISE HERE