KUBWA KULIKO kuruka mbashara Azam Sport 2

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jun 2019
KUBWA KULIKO kuruka mbashara Azam Sport 2

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema ili kuwapa nafasi mashabiki wake ambao watashindwa kufika ukumbi wa Diamond Jubilee kutokana na sababu mbalimbali, umeamua kurusha 'mbashara' Harambee ya KUBWA KULIKO itakayofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jumamosi ijayo Juni 15 2019 kupitia Azam Sport 2

Aidha kwa wale ambao watashindwa kufuatilia tukio hilo la kihistoria kupitia kwenye TV, wataweza kulifuatilia kupitia simu zao za mkononi kwa kulipia Tsh 3,000/- tu

Kwa kupitia tovuti ya www.kitangoma.com, unaweza kulifuatilia tukio hilo popote ulipo duniani

Msemaji wa klabu ya Yanga Dismas Ten amesema kiasi hicho cha pesa ambazo utapaswa kulipia ili kushuhudia tukio hilo 'mbashara' ni sehemu ya kuichangia Yanga pia

Ten amesema maandalizi kuelekea tukio hilo yanaendelea vizuri ambapo kuanzia leo licha ya tiketi kuendelea kupatikana kupitia mitandao ya Tigopesa na Mpesa, pia zitapatikana maeneo haya;

1. Clouds,
2. EFM
3. AZAM
4. Just fit Victoria,
5. Born To Shine Mwenge,
6. Mr Price,
7. Klabuni Yanga,
8. Big Respect Kariakoo,
9. Engen Petrol Station Mbezi Beach,
10. Flamingo Pharmacy TABATA,
11.Jerry Pamba Kali,
12.Wema Sepetu Shop
13. Vunja Bei Sinza,
14. Dar live Mbagala,
15. Mac Juice Sinza,
16. Fettylicius,
17. Dick Sound Magomeni. 
18. Masai Pub Kinondoni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’