Tukio kubwa la Harambee ya kuichangia Yanga maarufu kama KUBWA KULIKO litafanyika wiki ijayo ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Wadau wameendelea kununua tiketi ambazo zinapatikana kirahisi kupitia mitandao ya Simu, TigoPesa na MPesa
Tukio hilo adimu litawakutanisha Wanayanga wenye mapenzi mema na timu yao ambao msimu huu wameamua kuwekeza wenyewe
Harambee hiyo itarushwa mbashara kupitia vituo mbalimbali vya runinga na mitandaoni
ADVERTISE HERE