Usajili wa Yanga umekamilika kwa asilimia 90 - Ten

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jun 2019
Usajili wa Yanga umekamilika kwa asilimia 90 - Ten

Mkuu wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Dismas Ten amesema usajili wa timu hiyo umekamilika kwa asilimia 80 mpaka 90 kwa kuzingatia mapendekezo yaliyoachwa na kocha Mwinyi Zahera

Akihojiwa na UFM Radio mapema leo, Ten amesema usajili wa timu hiyo unafanywa kwa umakini mkubwa na unafuata sifa na vigezo vyote vilivyoachwa na Zahera

"Katika orodha ya wachezaji ambao kocha alitaka wasajiliwe, usajili wao umekamilika kwa asilimia 80 mpaka 90," amesema

"Patrick Sibomana ni miongoni mwa wachezaji wapya waliosajiliwa, kila mtu alimuona alipokuja nchini"

"Sibomana amecheza ligi ya Rwanda kwa mafanikio makubwa, ligi inaonekana na kila mmoja ameuona uwezo wake"

"Mwalimu alihitaji wachezaji wenye vipaji, wachezaji imara na wenye uwezo kwa ajili ya kutengeneza kikosi imara cha mashindano msimu ujao"

"Msimu huu tumecheza vizuri lakini hatukupata nafasi ya kuwa mabingwa wala nafasi ya kushinda kombe la FA"

"Tunatizama sasa mashindano ya msimu ujao tuhakikishe tunarejesha mataji yetu kama ilivyokuwa misimu ya nyuma"

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’